Mishahara ya Vigogo wa Serikali yafyekwa

Mishahara ya Vigogo wa Serikali yafyekwa

Hata 15mil bado nyingi sana - tukumbuke bado kuna watu wanalipwa 200000

Suala si kuwapunguzia wanaolipwa zaidi. Suala ni kuwanyanyua walio chini. Sasa kupunguziwa hao mishahara kunamsaidia nn mtu wa chini?
 
Mzee wa maigizo aka mtafta kiki shikamooo.
Hii ni hatari sana kwas kiongozi mkuu kushusha mishahara ya watu wake maana yake ni kuwa waliochini mtaendelea kutoa macho tu maana hamuwezi kudai kuongezewa wakati mishahara imeshushwa kwa wengine ndiyo maana hata mwaka huu ile annaul icrement imepotea
Inabidi kwa kweli tuongeze maombi kwa kiongozi wetu
 
Back
Top Bottom