LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,512
Uongozi sio about output tu..kuna Dhamana ya kutoa dira ya shirika/mkoa/wilaya na mambo chungu nzima...unayaweza/unayajua majukumu hayo au unasema tu max 4m??Wanazalisha output ipi serikalini? Kumlipa RAC, DED, RC, DC mamilioni ya shilingi kwa mwezi,kumlipia nyumba masaki /oysterbay,kumpa kilimo kwanza na dereva juu vya nini vyote? Makonda ana elimu gani? Hapi? Kama Degree ni wao tu ndio wanazo? mbona watu wana degree wanalipwa laki 2 na nusu per month? Ningekua na nyadhifa/mmlaka max mshahara ungekuwa 4m nyanja zote kama hautaki acha.
Et km hutaki Acha Hahaha..ndo mana utumishi wa umma rushwa zimeshamiri..watu hawataki kwenda na hali halisi ya maisha wakaweka mishahara mizuri..some private coys CEO watu milioni 60plus hadi 100 wanaondoka nazo home
Ulipwe 4m mkuu wa shirika hivi huyu jamaa wa private mkikaa nae atakununua kwa bei gani...tusikurupukeee