Mishahara ya supermarket

unaenda kuwa kama nani hapo supermarket? una kiwango gani cha elimu? kama 4m 4 waanze na laki 4 wakushushe mwisho laki 3, kama 4m 6 waanze laki 6 wakushushe mwisho laki 4, kama degree waropokee kama mdau hapo juu alivyosema.
 
unaenda kuwa kama nani hapo supermarket? una kiwango gani cha elimu? kama 4m 4 waanze na laki 4 wakushushe mwisho laki 3, kama 4m 6 waanze laki 6 wakushushe mwisho laki 4, kama degree waropokee kama mdau hapo juu alivyosema.
mkuu sijajua wataniposition kitengo kipi ila nina Advance diploma ya uhasibu.
Ajira mbovu inabidi tufanye hata hizi kazi.
Ahsante mkuu kwa kiwango cha kuwaanzia.
 
muuliza swali nakushauri uboresha post/swali lako. supermarket kuna kazi za aina nyingi so ni vema kutaja position-- je ni stock controller, accountant, mlinzi, mpiga deki, shop manager au nini.. ukiwa specific unapunguza maswali ya watu na utapata jibu unalohitaji.
 
Hata mi mwenyewe kitu hicho kinanisumbua wakati wa interview na inawezekana ndipo ninaposhindwana nao , ila cha msingi ndugu wakiuliza wakulipe kiasi gani wajibu kimtego waambie wakutajie mishahara yao kitu ambacho hawatafanya na wakilazimisha sana waaambie kutokana na elimu yako na viwango vyao vya mshahara wao wanaweza kukusaidia zaidi ukiwaachia jukumu hilo wao wenyewe na kama hamuelewani ungeridhika zaidi kama wangekulipa kiasi mfano.... watajie kwa range takehome iwe laki 4 hadi ML1 huo ni mfano inatagemea unavyojidhaminisha zaidi.

kila la heri ndugu.
 
waanzie laki 8 na 50.najua watakushusha ila hawatashuka zaidi ya laki 5.ila kwa kua ndio unasaka ajira kwa mara ya kwanza hata wakifika laki 4 we kubali.
 
mbona una utata hivyo si umwambie wenzako atapate mwanga kidogo kwa nini ulisema mbona una roho ya mtimanyogo hivyo
 
achana na wazinguaji hao we waanzie laki sita ndo constant hiyo...unaweza shuka hadi nne kwa mwezi kulingana na utakavyoona man....
 
jikadirie kwanza your level of education and then angalia sokoni watu kama ww katika secta hiyo ya sales wanalipwaje, bila kusahau kama una experience katika sector husika then unaweza kukadiria, another alternative ni kutoa range let say from 200,000/= to 500,000/= halafu unawaachia waamue wao hii ni nzuri zaidi unakuwa katika better chance of winning.
 
Wakati wa interview kila kitu hukamilika ikiwa ni pamoja na malipo so wewe uliwatajia kiasi gani?

Wakuu someni vizuri alichoandika jamaa.Anasema wamemuita kwenye interview kwa hiyo bado hajafanya.Anachotaka ajue wakati wa kutaja mshahara awe realistic ,ajue pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom