mkuu sijajua wataniposition kitengo kipi ila nina Advance diploma ya uhasibu.unaenda kuwa kama nani hapo supermarket? una kiwango gani cha elimu? kama 4m 4 waanze na laki 4 wakushushe mwisho laki 3, kama 4m 6 waanze laki 6 wakushushe mwisho laki 4, kama degree waropokee kama mdau hapo juu alivyosema.
mbna heleweki mara oooh wameniita nkafanye nao kazi mara wameniita kwenye interview kwanza hbu kuwa muwazi kidogomkuu labda nimekosea nilivyosema wameniita nikafanye nao kazi, ni2meitwa kwenye interview kwanza.
Wakati wa interview kila kitu hukamilika ikiwa ni pamoja na malipo so wewe uliwatajia kiasi gani?