Mishahara ya serikali?

kabye

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
355
39
naomba msaada kwa yeyote mwenye ufaamu kuusu ili plz. TGSS 12, NI SAWA NA SHILINGI NGAPI NGAZI YA MUSHAARA WA SERIKALI?
 
hebu angalia upya hiyo scale ya mshahara then uulize upya. Au pengine ni ofisi gani ya serikali unayotaka kujua hiyo scale yake ya salary mkuu?
 
sawa lakini mi najuwa kuwa serikalini iyo grade nazani ni costant so TGSS12 NI KIASI GANI? WJF
 
Labda kuna ktu hukijui, seriaklini kuna category tofauti za mishahara. km madaktari, walimu wa vyuo na sekondari, wafanyakazi wa agencies kama tra, tanapa, wote hao viwango vyao vyamishahara havifanani, kwa hiyo we sema uko sekta ipi ili ueleweshwe maana hiyo scale in walakini, hebu iangalie halafu uliza tena, kuna kitu umekikosea kwa hizo herufi, TGTS, PUTS, TGPS nk ndio scale sahihi na sio hiyo TGSS. Usiwe mbishi angalia utakuwa umedesa sivyo mkuu, hapo umedesa 'fugu' mkuu.
 
Safi mwelimishe atambue kuwa ni TGTS sio TGSS
 
TGSS/TGS ipo kwenye salary scales za serikali kama ilivyo kwa TGTS na nyinginezo. Ila alichokosea ni kwamba kuna daraja ameruka hapo yaani inaweza kuwa TGS B 1, TGS D 12, TGS F 12 n.k
 
sawa wa kuu, mi nimesoma chuo KIKUU UCLUS/ARDHI, nina 1st degree je, mushara wa kuangia ni ngazi gani pia ni sawa na t.shilingi ngapi?, plz naomba mchanganuo, niayo tu but apa tunaelimishana kisera not otherwise!
 
naomba msaada kwa yeyote mwenye ufaamu kuusu ili plz. TGSS 12, NI SAWA NA SHILINGI NGAPI NGAZI YA MUSHAARA WA SERIKALI?

sawa lakini mi najuwa kuwa serikalini iyo grade nazani ni costant so TGSS12 NI KIASI GANI? WJF

sawa wa kuu, mi nimesoma chuo KIKUU UCLUS/ARDHI, nina 1st degree je, mushara wa kuangia ni ngazi gani pia ni sawa na t.shilingi ngapi?, plz naomba mchanganuo, niayo tu but apa tunaelimishana kisera not otherwise!

Uclas = 7 years ( Std I-VII) + 4 years ( Form I -IV) + 2 years ( Form V -VI) +4 years( Bachelor's degree)=17 years, Hata kiswahili kuandika ni shida. Kazi ipo!!!
 
we chaka kweli ata akili una inaonesha mudomo unalia na unatolea uchafu. acha majungu we kama una cha kuandika si lazima kuundika kitu chochote. koma tena plz plz
 
wewe mrundi,mkongo,mrwanda?mudomo
 
Wewe kafanye kazi ujenge taifa unataka kujua kiasi cha mshahara hapa JF kwani haikuandikwa katika barua yako ya ajira? Kama hujapata barua kwenye interview ulitakiwa kuuliza swali hilo. Mshahara ni siri mkuu haiandikwi kwenye public site
 
we chaka kweli ata akili una inaonesha mudomo unalia na unatolea uchafu. acha majungu we kama una cha kuandika si lazima kuundika kitu chochote. koma tena plz plz

Dogo unapoeleweshwa na kaka zako kuwa na adabu. Hata hiyo kazi ukipewa taarifa utaandikaje kama kiswahili chenyewe ndio hiki? Istoshe jina lako hili ni la kinyankole, ww ni Mganda achana na ajira serikalini kabla hujashughulikiwa uraia wako.
 
we chaka kweli ata akili una inaonesha mudomo unalia na unatolea uchafu. acha majungu we kama una cha kuandika si lazima kuundika kitu chochote. koma tena plz plz
Karudia yaleyale, teh teh teh, JF pazuri jamani
 
Back
Top Bottom