Mishahara ya Polisi na Magereza imepandishwa?

Mishahara ya Polisi na Magereza imepandishwa?

Je kuna sababu ya kuongeza mshahara wakati kodi nayo inapanda?


RESIDENT INDIVIDUAL INCOME TAX RATES WITH EFFECT FROM 1/7/2010
SN MONTHLY TAXABLE INCOME TAX RATE
1 Where income does not exceed Tshs. 135,000/= NIL
2 Where total income exceeds Tshs. 135,000/= but
does not exceed Tshs. 360,000/=
14% of the amount in excess of Tshs.
135,000/=
3 Where total income exceeds Tshs. 360,000/= but
does not exceed Tshs. 540,000/=
Tshs. 31,500/= plus 20% of the
amount in excess of Tshs 360,000/=
4 Where total income exceeds Tshs. 540,000/= but
does not exceed Tshs. 720,000/=
Tshs. 67,500/= plus 25% of the
amount in excess of Tshs 540,000/=
5 Where total income exceeds Tshs. 720,000/= Tshs. 112,500/=plus 30% of the
amount in excess of Tshs 720 ,000
 
Kama habri hii ni kweli, Dr Hosea hii si rushwa hii!
 
Mwangalieni huyo asichapishe fedha au akakopa mno kwenye mabenki. Ataua uchumi. Au yuko tayari kuhatarisha sana uchumi kwa ajili ya kuhongea kura?

Wafanyakazi si wajinga. Watapokea hizo fedha lakini kura watampa Dr. Slaa. Hawatakubali hongo ya dakika za majeruhi.

Ila kama kweli JK ameamua kuongeza mishahara kwa asilimia 40 saa hizi, basi atakuwa amemuogopa Slaa kuliko hata tulivyodhani! Kaza buti Kamanda wetu Slaa, watu wameshapanick sana!


Hakope mara ngapi? Serikali inadaiwa na kila benki unayoijayo hapa nchini, mimi nawasiwasi anadaiwa hadi na baadhi ya saccos!
 
JK Anajua kuwa wafanyakazi wengi hawapigi kura siku zote wanajifanya wako bize wako tayari kukaa baa kunywa mipombe ndio maana alidiriki kusema hataki kura zao.
 
wafanyakazi wote wameongezewa mkuu. tena ni asilimia hiyohiyo kwa wote. keshatimiza matakwa yenu. mpeni basi zile kura alizokataa. ilikuwa ni hasira tu wakuu. msameheni boss wenu!

Kudadadeki, kuongeza mshahara si hoja hoja ni lini huo mshahara utatolewa, Je ni july 2010 au January 2011? Je kwa nini kodi za bidhaa na mengineyo hawakopi yaani vianze kutozwa 2011? Bado hata atuongeze mashahara na kushindwa kuzuia mfumuko wa bei na kupandisha kodi kwenye bidhaa muhimu haileti unafuu wa maisha, sisi hatuna cha kubembeleza au kujifanya tunaridhika na huo ujinga, lazima CCM na serikali yake ing'oke tutafute vyama na serikali nyingine inayojali wananchi wake kwa ujumla.
 
Waalimu wa vyuo vikuu vya uma wameachwa au kuna nini????
 
wafanyakazi wote wameongezewa mkuu. tena ni asilimia hiyohiyo kwa wote. keshatimiza matakwa yenu. mpeni basi zile kura alizokataa. ilikuwa ni hasira tu wakuu. msameheni boss wenu!

Sifa zingine ziliyomuingiza ikulu ni upole, uungwana, mpenda watu, nk. iweje aanze kutukana watu na kuonyesha ukorofi kabla hata ya mwisho wa maisha yake ya siasa?

Au shetani anamuingilia kiurahisi?

Acheni ajirudi sasa hivi lakini tunachojua ni kwamba ana tabia ya ya kutawaliwa na shetani kwamza. Kama ilivyokuwa kura za maoni, pesa tunachukuwa lakini kura tunajua tuzipeleke wapi.
 
Back
Top Bottom