Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,499 Reaction score 62,031 Oct 28, 2016 Thread starter #101 baro said: Hiyo taarifa umeiamini? Click to expand... Nimeiamini hadi utakapoleta yako ya ukweli.
Msambichaka Mkinga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 1,646 Reaction score 2,911 Oct 28, 2016 #102 barafuyamoto said: Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense?? Click to expand... Vichaa wote, ukimuuliza kama ni kichaa atakataa, huamini ana akili kuliko walio wazima. Kati ya aliyeileta taarifa na wewe unadhani nani hana akili? Hizi ni taasisi ambazo hukusanya taarifa mbalimbali, unataka tuzisiamini halafu tukuamini wewe unayejibu hoja kwa hisia bila viambatanisho vyovyote. Mwandishi ameweka chanzo cha taarifa yake. Kama wewe una chanzo kingine, kiweke hapa ili tujadili hizo contradictions, kama zipo.
barafuyamoto said: Ndo maana nimesema hapa kuna mataahira watakamatwa kwa sababu ya kuingia mazima. What has happened to common sense?? Click to expand... Vichaa wote, ukimuuliza kama ni kichaa atakataa, huamini ana akili kuliko walio wazima. Kati ya aliyeileta taarifa na wewe unadhani nani hana akili? Hizi ni taasisi ambazo hukusanya taarifa mbalimbali, unataka tuzisiamini halafu tukuamini wewe unayejibu hoja kwa hisia bila viambatanisho vyovyote. Mwandishi ameweka chanzo cha taarifa yake. Kama wewe una chanzo kingine, kiweke hapa ili tujadili hizo contradictions, kama zipo.