Mishahara mipya ya walimu 2015/2016


Mwalimu wa primary yupi alianza na D1 acha uongo. Na B1 na C1 anapokea nani?
 
Walimu Wa Ikungi,Busega dc,na wengine kimeeleweka??
 
Waambie Me Napendelea Pkpk Aina Ya Boxer Nitawapa Kura
 
D1 take home 571,000/=Hiyo haina ubishi
 
Mwenye kujua ongezeko la kada ya Afya,naomba atujuze
 
Wale tuliopata barua za kupanda daraja mwezi huu mshahara wake mpya tutauona baada ya muda gani?
 
B1 Na C1 Hakuna Tofauti Na Scale Hapo Juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…