Ni ujinga kutegemea mshahara kwa 100%. Weka na miradi.
Kaunga umeongea ukweli, yawezekana huyu ndugu yetu hajui ajira za siku hizi kuwa ni za mikataba kwa maana ya ku-achieve targets.Labda uwe mwizi wa muda wa muajiri ndipo utakapoweza kufanya mradi kwa 100%. na hii ya kutofanya kazi is killing Tanzania.
Angalia wanaofanya kazi kwenye makampuni na NGO uone kama wanapata muda wa kufanya hiyo miradi kwani hata akilala anawaza jinsi gani ataachieve malengo au kumeet deadlines.
Ni ujinga kutegemea mshahara kwa 100%. Weka na miradi.
The world is not fair
Zao la shule za kata litajulikana tuu Kiyoya
Ni kweli. Amenukuu vibaya msemo wa George Orwell kwenye Animal farm.
Sahihi ni:
"All animals are equal, but some animals are more equal"
Labda uwe mwizi wa muda wa muajiri ndipo utakapoweza kufanya mradi kwa 100%. na hii ya kutofanya kazi is killing Tanzania.
Angalia wanaofanya kazi kwenye makampuni na NGO uone kama wanapata muda wa kufanya hiyo miradi kwani hata akilala anawaza jinsi gani ataachieve malengo au kumeet deadlines.
Labda uwe mwizi wa muda wa muajiri ndipo utakapoweza kufanya mradi kwa 100%. na hii ya kutofanya kazi is killing Tanzania.
Angalia wanaofanya kazi kwenye makampuni na NGO uone kama wanapata muda wa kufanya hiyo miradi kwani hata akilala anawaza jinsi gani ataachieve malengo au kumeet deadlines.
Ni ujinga kutegemea mshahara kwa 100%. Weka na miradi.
Kalaghabaho, wakatabahu Mjomba!Wapi mnapata huu uzushi mbn siyo kwei!!