Ty tanick
Member
- Jun 18, 2021
- 8
- 6
Mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda kuna kampuni moja ni maarufu sana inajihusisha na mambo ya mazao inatoa mikataba feki kwa mwafanyakazi wake pia inachelewa sana kulipa mishahara, kima chao cha misharaha ni 100k hadi 225k ila kupata ni hadi kelele kwanza
Hii ndo Tanzania wewe kama una kazi na unalipwa bila shida yoyote haijalishi ni kiasi gani wewe piga kazi
Hii ndo Tanzania wewe kama una kazi na unalipwa bila shida yoyote haijalishi ni kiasi gani wewe piga kazi