Watanzania mtalalamika mpaka lini? Wambieni waanzishe kombe la kulalamika la dunia nauhakika mtashinda tu. Kimbilion kwa sasa imekuwa 2015, utafikiri kweli wataazibu ccm, hakuna lolote. Muda ukifika kilo moja ya sukari, kanga moja, t-shirt n.k.unasahau yote haya na unauza maisha yako tena kwa miaka 10.