mtasubiri sana. Ccm ni nambari one. Labda wafanyakazi wenu hapo kinondoni ndo wanalalamika
mi naona ni dharau kubwa kwa wafanyakazi hasa wa kada ya elimu na kilimo ambako hakn m/kaz aliyeongezwa zaid ya 36,000/- kidogo polisi angalau mana wake wa degree wameonezwa si chini ya 68,000/ na posho yao imepanda kwa 30,000/ juu cjui kwasbb hawa ndo wabeba kura za magendo?? Wafanyakaz mjitafakari upya na hilo zombi ccm vinginevo mtalia xn.
bora yenu wengne hata mshahara wenyewe ndo hatujapewa kabisaa
mkuuu embu changanua mshahara wa laki nne upo jijin dar alafu ujionee kama wanahaki au hawana?
mrembo kwanini unabishana na huo msukule wa c.c.m usiojua nini maana ya utu wa mtu?
Basic ya D1 ni 639,000. Take home nimeona 517,000/=
Basic ya D1 ni 639,000. Take home nimeona 517,000/=
Basic ya D1 ni 639,000. Take home nimeona 517,000/=
idadi kubwa ya walimu skary zao ni D1 so ongezeko ni 30,000 kasoro.... Kama hutaki kalale..... Walimu woyeeeeeeeeeee woyeeeeeee hoyeeeeeeee...........
Ndo wale wanaomuona Januari anawafaa! Eti wanaona mbali, tangu lini CCM inawaza mema kwa wananchi?
wababa ni majangaaaaa, salary ya mwezi july imetoka lakini pesa iliyoongezwa ni elfu thelethini tuu.... Hongereni walimu.....
wababa ni majangaaaaa, salary ya mwezi july imetoka lakini pesa iliyoongezwa ni elfu thelethini tuu.... Hongereni walimu.....