mwalilawola
Member
- Nov 15, 2013
- 18
- 6
Hakika inakera na inaudhi sana tuu,yaani tangu wapate mishahara yao ya mwezi huu julai wamekuwa wakilalamika sana juu ya utapeli waliofanyiwa,na haya ndiyo wanayoyasema nanukuu:-
-"kodi ya nyumba imepanda,umeme bei juu,nauli ya kwendea kazi imepanda,mkaa gunia moja tsh:30000,watoto wanataka ada shuleni,vyakula bei juu,madeni nadaiwa kila kiduka kilichopo mtaani kwetu,saccos nako nadaiwa na bado hisa sijapeleka,dharula ndogondogo kama ugonjwa na wageni hizo hazielezeki.
Mshahara hautoshi nyongeza yenyewe kiduchu,aaah! Sijui nani atanisaidia maana kama ni kudanganywa ilikuwa mei mosi mkuu alipo tuonyesha usanii wake kwakutudanganya hadharani,tucta nao wanatumika.
Sasa najiuliza nimlilie nani maana kufa sifi,maisha magumu,hii serikali hii ya CCM ngoja tutakuna 2015".
-Hayo ndiyo malalamiko yao na siyo yangu mimi willafrica.
Hivyo naomba kuwasilisha jamvini.
Jk alinena na waziri wa utumishi naye akanena kuwa wameongeza mishahara kwa 41% hii ina maana kuwa kwa mtu wa degree aliyekuwa anapata basic salary 589000 sasa itakuwa 830490 kidumu chama cha mapinduzi
well done mr president this will make life some how better,

Acha kuota wewe kada wa MAGAMBA! Hilo ni ongezeko la ujumla, ni mwendo wa niongeza ya Tsh 15,000/= tu kama kawaida. Kama unabisaha subiri tar 1 mwezi wa saba ujionee mwenyewe.
Hiyo laki 589000?= Hardly itafika 610,000/= chezea magamba wewe? Uongezewe 41% kwani wewe mbunge?

kama mshahara utaongezeka halafu makato na bei ya bidhaa vikaongezeka kufuata mshahara kuna maana???kinacholalamikiwa kimsingi ni gap kati ya walionacho na wasionacho na makato huwa ni maumivu makubwa kwa wasionacho kwa 7bu ndio wanaolipa kodi tena kubwa ukilinganisha na hao walionacho..hapo ndio hoja ilipo
well done mr president this will make life some how better,
Acha kuota wewe kada wa MAGAMBA! Hilo ni ongezeko la ujumla, ni mwendo wa niongeza ya Tsh 15,000/= tu kama kawaida. Kama unabisaha subiri tar 1 mwezi wa saba ujionee mwenyewe.
Hiyo laki 589000?= Hardly itafika 610,000/= chezea magamba wewe? Uongezewe 41% kwani wewe mbunge?
naomba kujua sababu ya serikali kupata kigugumizi ya kuweka wazi nyongeza asilimia ya mishahara mipya 2014? au ndo kiini macho kwa wafanyakazi kuongezewa 2500?