Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Nawe unawaza Halmashauri tuuuu,,,sasa hio own source kwa ofisi kama ya takwimu itapatikana wapi sasa?Hayo matumizi ya ofisi yanagharamiwa na own source collections acha fix zako

I see! Kwanza ni kitu kisichowezekana kuchukuwa mshahara wa mtu mwingine! This is immoral and unethical kabisa, hakuna mtu anaweza kuhalalisha hili, halina maadili kabisa, kwani, unawezaje kuhakikisha kwamba pesa yote imetumika vizuri, so anataka kutwambia kwamba hata wakaguzi wamekuwa wakidanganywa daima???Unaweza kuwa sawa lakini kwa nini watumie pesa za wafu na serikali kuonekana ina lundo la wafanyakazi wakati ukweli siyo huo? Je walikuwa wakitoa taarifa kwamba zimekuja fedha za watu ambao hawapo kazini na tumezitumia kwa matumizi mengineyo?
Mkuu sijakuelewaI see! Kwanza ni kitu kisichowezekana kuchukuwa mshahara wa mtu mwingine! This is immoral and unethical kabisa, hakuna mtu anaweza kuhalalisha hili, halina maadili kabisa, kwani, unawezaje kuhakikisha kwamba pesa yote imetumika vizuri, so anataka kutwambia kwamba hata wakaguzi wamekuwa wakidanganywa daima???
Halafu, unataka pesa ingine itumike, ipotee ati kuchunguza, hii haitakaa ieleweke ndugu, Please, don't bring this for any discussion, it is immoral.

Mkuu sijakuelewa
Ninachojua ni kuwa hakuna aliyekuwa anaweka hela mfukoni. Ni kuwa kwa vile serikali ilikuwa haileti OC au inaleta OC kidogo sana kulinganisha na mahitaji, katika idara zake, basi idara walikuwa wanatumia fedha hizo kulipia umeme, maji etc, in short kuendesha ofisi. Kama kuna mishahara hewa ilikuwa inaliwa na watu ofisini basi ni kidogo sana. I STAND TO BE CORRECTED
Sawa mkuu manake nilidhani unanitumbua!!I'm in support of your comments mkuu, pole nsikuwa mtandaoni kwa muda mrefu.
Hapana ndugu, uwezo huo ntautoa wapi, mim yangu na kushauri baada ya kujifunza kwenye mijadala, only ya kujenga mkubwa, usijaliSawa mkuu manake nilidhani unanitumbua!!