Mishahara hewa kwenye idara za Serikali

imeshakuwa wimbo huo la msingi ni hawa watu wa chini ya MAGU wachape kazi,sasa gavana wa bot hajui watu wanaohitajika kufanya kazi pale ,mimi na ww tutajuaje??hajui kuna watu wamefariki au wanaokufa kila siku ni sisi tu wa chini au?hawa wa chini wanazingua tu
 
mwalimu bwako alikuwa lazima Mzungu na sio vinginevyo,TUSHAWAZOEA HAO
 
Hivi hii tania ya CHADEMA kutetea kila aina ya upuuzi imeanza lini? Kwani mmerogwa? Naona Lowasa kawajaza upumbavu kwenye chama chenu
 
Utetezi wako uishie humuhumu, mahakamani utafungwa!
 
huyu ameguswa kwenye mfupa na mkuu wa nchi alisema tuwapuuze kwan ndoo chanzo cha sisi kuwa hapa tulipo!!!!
 
Other charges. Zinatumika kulipa umeme, maji, simu, usafi , kusafiri. Mafuta etc
 
Huo si utetezi hata kidogo!
 
Kwa vile hsujawahi kuwa warrant holder you can not comprehend my point
 
Serikali iliyopita ilikuwa ya ajabu! Bajeti yote iliyoidhinishwa na bunge ilikuwa inatumika, lakini OC hazipelekwi kunakohusika! Je pesa zilikuwa zinaenda wapi?
 
mtoa mada ni mpumbavu au ndo mkurugenzi mwenyewe wa hizo halmashauri zenye watumishi hewa
sasa kama OC haifiki ndo unatumia hizo hela kuendesha ofis sasa wasipopatikana hawa watumishi hewa ndo tunafunga ofice sio
 
kabla sija changia 0.C ndio nini?
 
mtoa mada ni mpumbavu au ndo mkurugenzi mwenyewe wa hizo halmashauri zenye watumishi hewa
sasa kama OC haifiki ndo unatumia hizo hela kuendesha ofis sasa wasipopatikana hawa watumishi hewa ndo tunafunga ofice sio
O.C ndio nini!?
 
Hayo matumizi ya ofisi yanagharamiwa na own source collections acha fix zako
Na kazi ya Other Charge almost yote ni recurrent mkuu wakati own source collection kuna kiasi ambacho kinachangia kwenye Development.
 
Mkuu unapima upepo nini? Kifupi hizo sababu hazitakuchomoa.
jamaa anachekesha kweli ananywea bia mishahara ya wafu anasingizia kuwa et analipia bil za maji na umeme kwa hiyo wasipokuwepo hao wa utumishi hewa hatutakinywa maji
kweli hiyo sababu magu akiiskia lazima atikise kichwa
 
Haiko hiyo kitu kwenye Government Accounting system
 
Mmmmhhhh, labla. Tatizo lipo bro, wala usibishe. Niliwahi ku-witness hii kitu kwenye miaka ya 2003, walikuwa wanakula kwa kushirikiana na watu wa Hazina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…