Mishahara Clouds Radio na Tv

Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.

Mkuu naona ikabidi muonyeshane hadi salary slips, safi.
 
Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.

Wanavuta mshahara mkubwa sana bado kwenye matamasha ya serengeti mara sijui fiesta jamaa wanakunja pesa ndefu bana.
 
Mkuu kama umepotea thread vile, hakuna mtu aliteongelea kipimo cha maendeleo, rudi kwenye mada mkuu.

nimeichukulia hii thread kama dhihaka kwa vijana wa clouds ndo nikafanya hitimisho kwani wengi humu wanazunguka zunguka ila lengo ni kutaka kuwakashifu katika kipato....kimfaacho mtu chake!....
 
Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.


Sasa laki tano na kumi umewatetea au umewasaga zaidi!... take home ya juu pale haizidi kilo nane
 
Bora ya thread za bujibuji kuliko thread hii ya kuingilia maisha ya watu.
Kama hao watangazaji wameridhika na kipato chao, je sisi tufanyeje?
Longlive bujibuji
 
Hakuna mwenye ajira pale,mtaji wao ni mike hivyo kila mtu anakula kwa jasho lake ukiwa mjanja wa kutafuta mdhamini wa kipindi ndiyo unapewa % yako other wise utakula jeuri yako waulize wasanii wanavyo daiwa fedha ili warushwe hewani ndiyo utajua jamaa nuksi.Na wengine wanawalazi misha wasanii kuwamanage ili wapate pesa ya show na msaniianaambulia kupewa ujiko tu Redioni.
 
ndio mnavyodanganyana mkikutana kwenye vikao vya bia? Mshahara pale hauzidi laki tatu. Wajanja wanatumia zaidi matamasha kuongeza kipato. muulize masoud kipanya alipotaka aongezwe mshahara aliambiwaje? Acheni kudanganyana hapa jamvini.


kwanza tambua kua wakati anatoka masoud kipanya ilikua ni lini na hali halisi ilikuaje na hakutoka kwa kupenda kama wengi mnavodhani!! Na hakuna ofisi ambayao wafanyakazi wote wanalipwa mshahara level moja, sawa sikatai kuna wanaolipwa mbaka laki na nusu, huwezii kusema mshahara wa kibonde kwa mfano uendane na mlinzi au mpishi si kweli na hizi habari nakupa ni exclusive kawaambie na wenzako na haijatoka kwingine kokote!
 
Ndio mnavyodanganyana mkikutana kwenye vikao vya bia? mshahara pale hauzidi laki tatu. wajanja wanatumia zaidi matamasha kuongeza kipato. muulize masoud kipanya alipotaka aongezwe mshahara aliambiwaje? Acheni kudanganyana hapa jamvini.
ww usiongope
issue ya kipanya haikuwa pesa ni kuhitalifiana kiungozi walitaka kurecod kipind live ubalozi wa USA hawakupewa sapoti ,so thy use own money to carry on.walipodai wakaambiwa ni out of bugdet.so walipanga kugoma kurusha kipind Masoud Fina na Gerald .GERALD AKAWASALITi Wakawafired
 
watangazaji wanapata take home 1.3...hi nina uhakika 100%
administration sijajua ila ni zaidi ya hapo.....probably kuanzia 1.6 take home.....ni moja ya redio inaongoza kwa malipo mazuri tanzania.....
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Be positive, hata kama walamba viatu vya JK kazi ni kazi bora mkono uende kinywani...jibu kama unajua..hujui bora kukaa kimya sio vema kukejeli kazi za watu
 
Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua mishahara ya wafanyakazi wa Clouds Radio na Tv tafadhari, hususani watangazaji.

Jipendekeze zaidi kwa bw Ruge Mutahabwa...atakuibia siri zote!
Maana huu ndio umbea usio na tija humu JF.
Hauna mabadiliko kwenye jamii yetu iliojaa umasikini na ujinga!.
 
Back
Top Bottom