Mishahara Clouds Radio na Tv

wanapewa pesa ya kula tu! wanachopewa kikubwa ni uhuru wa kuongea mawazo yao kama watangazaji bila ya kujali yanawakera watu wangapi
 
laki 8 up to 1.5 mil per month na GADNER G anarudi next season ba atalipwa mshahara mnono kuliko wote kwasababu alitoka ili kuepusha shari na ameondoka kituo kimepwaya eti!

Wakuu heshima mbele,

Ningependa kujua mishahara ya wafanyakazi wa Clouds Radio na Tv tafadhari, hususani watangazaji.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
mshahara si kipimo cha maendeleo ya mtu.....vijana wanatafuta ridhiki iliyo halali je tungependa wawe vibaka!sometimes chuki zisizidi waungwana.....

Mkuu kama umepotea thread vile, hakuna mtu aliteongelea kipimo cha maendeleo, rudi kwenye mada mkuu.
 
wanapewa pesa ya kula tu! wanachopewa kikubwa ni uhuru wa kuongea mawazo yao kama watangazaji bila ya kujali yanawakera watu wangapi
Mbona hutaji wanawafurahisha wangapi..??? Ili ujuwe kwamba wanakera au la ni lazima uwasikilize...........hivyo inaonyesha NAWE NI MMOJA WAO.........
 
laki 8 up to 1.5 mil per month na GADNER G anarudi next season ba atalipwa mshahara mnono kuliko wote kwasababu alitoka ili kuepusha shari na ameondoka kituo kimepwaya eti!

Ndio mnavyodanganyana mkikutana kwenye vikao vya bia? mshahara pale hauzidi laki tatu. wajanja wanatumia zaidi matamasha kuongeza kipato. muulize masoud kipanya alipotaka aongezwe mshahara aliambiwaje? Acheni kudanganyana hapa jamvini.
 
Niliwahi kusikia ni kati ya 200000- 300000!

Hata kama tunawasaga, haki yao tuwape... Nina washikaji zangu nane wanafanya kazi pale kama waandishi, wote kwa pamoja @ take home yao ni 510,000 (Lakini tano na elfu kumi). Na huwa tunaoneshana Salary Slip kila nikija likizo, lakini hawana marupurupu mengine Period.
 
Back
Top Bottom