Maimai heshima yako.
Hawawezi kufanya kazi bure, lazima wanabills za kulipa, rent, mafuta ya gari na pesa ya kujirusha.
Nafikiri ni INFERIORITY COMPLEX waliyonayo hata waajiri wenyewe, pia na wabongo wenyewe.Kwanini Wakenya? Inaonekana sisi Watanzania tumelala. Hata hivyo Wakenya wa Clouds TV wanafanya Graphics bora mara 5 ya Watanzania wa ITV. Angalia kipindi cha Step Up Player cha Clouds, actually wanajijua kuwa wanatuzidi, wanajipigia chapuo ya "StepUp Player, 3D Reloaded."
Wait, just a word, We are coming with "3D Multi-reloaded"! Just a dream.
ITV na TBC kuna wazee wabishi hao hauwaelezi kituKwanini Wakenya? Inaonekana sisi Watanzania tumelala. Hata hivyo Wakenya wa Clouds TV wanafanya Graphics bora mara 5 ya Watanzania wa ITV. Angalia kipindi cha Step Up Player cha Clouds, actually wanajijua kuwa wanatuzidi, wanajipigia chapuo ya "StepUp Player, 3D Reloaded."
Wait, just a word, We are coming with "3D Multi-reloaded"! Just a dream.
kampuni gani hiyo inafanya hivyo mkuu hakuna kitu kama hicho wangekuwa wamefungua makampuni yao muda mrefunasikia salary ni ndogo ila pesa ya matangazo ya kipindi chako mnagawana 50/50 na kamp8uni
namanisha clouds na mtangazaji wa kipindikampuni gani hiyo inafanya hivyo mkuu hakuna kitu kama hicho wangekuwa wamefungua makampuni yao muda mrefu
Ungeangalia bei ya tangazo kutangazwa kwenye tv au radio kubwa kama clouds ni gharama sananamanisha clouds na mtangazaji wa kipindi
Mfano Vodacom wanatoa kiasi gani??Ungeangalia bei ya tangazo kutangazwa kwenye tv au radio kubwa kama clouds ni gharama sana
Kumbe Gerlad Hando ni faraa hivyoww usiongope
issue ya kipanya haikuwa pesa ni kuhitalifiana kiungozi walitaka kurecod kipind live ubalozi wa USA hawakupewa sapoti ,so thy use own money to carry on.walipodai wakaambiwa ni out of bugdet.so walipanga kugoma kurusha kipind Masoud Fina na Gerald .GERALD AKAWASALITi Wakawafired
KWANI KIPINDI KAMA CHA MICHEZO KINA WATANGAZAJI WANGAPIUngeangalia bei ya tangazo kutangazwa kwenye tv au radio kubwa kama clouds ni gharama sana