Misemo

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,067
Mambo wanajamii?Nimeiona leo hii kwenye lori.

MJINI SHULE ILA KUMBUKA KUJA NA MADAFTARI NA KALAMU!
 
mambo wanajamii?nimeiona leo hii kwenye lori.
MJINI SHULE ILA KUMBUKA KUJA NA MADAFTARI NA KALAMU!

'NANI ALIKUAMBIA KAMA SI UMBEA' - Niliiona miaka ya tisini kwenye baiskeli huko Musoma
 
Mimi nimeiona hii kwenye lori - Bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa mke
 
Nimeona hii kwenye Lori la takataka: Babaako analo?
 
aisee kweli hii misemo kiboko leo nimeona mmoja heti njia kuu yako ndio mchepuko wangu nikahisi naambiwa mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…