Nipige jeki-nisaidie hele kidogo.
Nimechacha ile mbaya-sina hele yoyote.
Nistue kidogo-nisaidie hela kidogo.
Nipo mkavu ile mbaya-sina hela yoyote.
nipo Alosti-sina kitu.
Kudinya au kupiga miti-kufanya mapenzi.
Mdwanzi
Unanilostisha-unani poteza au unani haribia.
jamaa yule feki ile mbaya-jamaa haileweki au sio wakumwamini au mwenye matendo mabovu.
Maujiko-Sifa, msela nondo- Mhuni, dole tupu halina ukucha, mambo kwa soksi-?,Kugonga ngozi- Kufanya mapenzi, King'asti-msichana, Mgoroko,mporipori,wa kuja-Mshamba, kipunga,cheka na watoto-wali.
Hiyo "Sakala mento" haikuwa hivyo. Zamani ilikuwa "Sakala" tu ikimaanisha kichaa. Kuna wimbo wa Tabu Ley na Afrisa Intenationale unaoitwa "Sacramento" ndio ulioleteleza neno "Sakala" kuongezewa neno "mento". Kwa anaetaka kuusikia huo wimbo utafute kwenye YouTube!
Basi haya...tutakuja kuyafix baadae
Mambo Tukinaa Nimewaka ile mbaya, Nimechalala Stiki/Ganja = Bangi Tinabuu
Mche = Sigara Kifaru/Kimwaga = Mtu wa matumizi/matanuzi