Nilipokua mdogo nilikua naskia misemo iliyokua ikitumiwa na wahenga katika jamii na pia ilikua na maana zake..mfanomkono wa kulia ukiwasha......utatoa kitu/hela,Mkono wa kushoto ukiwasha...utapokea kitu/hela,Jicho la juu likicheza...kuna msiba,Jicho la chini likicheza....kunamgeni, sasa je hawakina dada wanaotembea wakitingisha/chezesha makalio... Inamaana ipi?