Misemo ya hatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misemo ya hatari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jonogomero, Mar 2, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio jila mchaga lazima awe muuza duka, so usiogope kuitwa mangi.

  Usiwe na hasira za mkizi, mvuvi atakufanya dili

  Maisha yangekuwa karata, tungekomaa na mchangaji mpaka ajute

  Kama wakat aka muda ni pesa au mali, basi watu wangefungua akaunt za saa bank.

  ............
  Ongeza usemi wako
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tarudi baadae kaka.
   
 3. P

  Pedeshee kiraka Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dingi una degree ya kiswahili nini?
   
 4. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  njaa ningekua inabana kama mkojo,, wangapi wangekua wamejikojolea?
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama ingekuwa kawaida unajamba na kuambatana na uharo,basi zingetengenezwa pampus za wakubwa
   
 6. G

  G.JUMA Senior Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kifo kingekuwa mchezo ningepinga nacho poo.
   
Loading...