Misemo tata niliyokutana nayo JF

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,375
wana JF nimeamini kuwa JF ni jamii kamili kabisa..kama mnavoelewa ukienda kwenye maeneo ya migodi wana lugha zao,ukienda gereji wana lugha yao,nami nimekutana na misemo ya kila namna humu JF,na kama ukifuatilia maana zake unaweza cheka sana..mnaweza ongezea

masa.buri
dushe.le.le
kabaaang
0713
marinda
kinanabia
.....
 
"bwa mdogo hebu acha kutoa povu, waombe mods waipeleke chitchat..."
 
u''mwanaasha'' huooo
mr zimbabwe
policcm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…