Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,066 Feb 19, 2012 #21 TUMBIRI said: Kuangalia Pilau - Kuangalia picha za Ngono! Click to expand... nakumbuka mabibo enzi hizo block b kuna wadada walikuwa wanakula hii kitu mpaka wanafanya biashara ya kuburn cd.
TUMBIRI said: Kuangalia Pilau - Kuangalia picha za Ngono! Click to expand... nakumbuka mabibo enzi hizo block b kuna wadada walikuwa wanakula hii kitu mpaka wanafanya biashara ya kuburn cd.
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,066 Feb 19, 2012 #22 hdd- masaburi makubwa
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Feb 19, 2012 #23 Jembe.......jamaa anaetisha class RB ...Rice and Beans Kucoet.....kukesha kwa kusoma Kutoboa....kusoma mpaka asubuhi
Jembe.......jamaa anaetisha class RB ...Rice and Beans Kucoet.....kukesha kwa kusoma Kutoboa....kusoma mpaka asubuhi
Captain Phillip JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 894 Reaction score 538 Feb 19, 2012 #24 TBS-Kijiwe UD cha kuangalia Masaburi ya wadada. Tsunami-Wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Feb 19, 2012 #25 "Kutengeneza kijiji"=Kudesa/kula simbi kwenye pepa,mnajipanga vizuri kwenye chumba cha pepa halafu mnalishana desa mwanzo mwisho!!
"Kutengeneza kijiji"=Kudesa/kula simbi kwenye pepa,mnajipanga vizuri kwenye chumba cha pepa halafu mnalishana desa mwanzo mwisho!!
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Feb 19, 2012 #26 Wife- Mke Husband- Mume Boy- Mvulana Girl- Msichana Chair- Kiti Table- Meza
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,105 Feb 19, 2012 #27 Shato pori-Kutembea kwa miguu eg Chuo UDSM hadi Mabibo Hostel.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Feb 19, 2012 #28 Sometimes said: Misamiati hii ni ya karne ya 21. Karne ya 20 nayo ilikuwa na misamiati yake! Click to expand... Tupe ya karne ya 20.
Sometimes said: Misamiati hii ni ya karne ya 21. Karne ya 20 nayo ilikuwa na misamiati yake! Click to expand... Tupe ya karne ya 20.
Boonabaana JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 255 Reaction score 105 Feb 19, 2012 #29 Radhia Sweety said: Wife- Mke Husband- Mume Boy- Mvulana Girl- Msichana Chair- Kiti Table- Meza Click to expand... Change the way you think!
Radhia Sweety said: Wife- Mke Husband- Mume Boy- Mvulana Girl- Msichana Chair- Kiti Table- Meza Click to expand... Change the way you think!
Primitive JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 222 Reaction score 45 Feb 19, 2012 #30 Msemaovyo said: TBS-Kijiwe UD cha kuangalia Masaburi ya wadada. Tsunami-Wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Click to expand... hii ilikuwa pale nyuma ya ATB! sijui mpaka ndo inavyoitwa! kama unaangalia library!
Msemaovyo said: TBS-Kijiwe UD cha kuangalia Masaburi ya wadada. Tsunami-Wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Click to expand... hii ilikuwa pale nyuma ya ATB! sijui mpaka ndo inavyoitwa! kama unaangalia library!
nsangaman JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 275 Reaction score 42 Feb 19, 2012 #31 MIGI-kuingia na desa ndani ya chumba cha mtihani Kufunga mtaa-kuchafua hali ya hewa ukiwa chooni Kukata kiu-
MIGI-kuingia na desa ndani ya chumba cha mtihani Kufunga mtaa-kuchafua hali ya hewa ukiwa chooni Kukata kiu-
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Feb 19, 2012 #32 Kuflongo- Kumpa lecturer penzi ili akupe maksi za upendeleo. Kupigwa mkanda- Lecturer kutolewa nje penzi na denti wa kike. Kuliwa sugu- Kupigwa mashine na walimu tofauti kwa wakati tofauti
Kuflongo- Kumpa lecturer penzi ili akupe maksi za upendeleo. Kupigwa mkanda- Lecturer kutolewa nje penzi na denti wa kike. Kuliwa sugu- Kupigwa mashine na walimu tofauti kwa wakati tofauti
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Feb 19, 2012 #33 screen saver....hili ni eneo la kuuzia sura pale IFM gate la makumbusho!hapo ni watanashati ndo tulikuwa na confidence ya kukaa hapo!
screen saver....hili ni eneo la kuuzia sura pale IFM gate la makumbusho!hapo ni watanashati ndo tulikuwa na confidence ya kukaa hapo!
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,352 Feb 19, 2012 #34 Masuke said: Wireless-desa liloloandikwa kwa kutumia kalamu isiyokuwa na wino kwenye plane, anayejua kilichoandikwa ni aliyeandika tu. Click to expand... mkali mbona haya mambinu hukuyaweka hadharani!!!unajua elimu ya bongo bila mbinu kama hizi maisha ya shule yanakuwa magumu!
Masuke said: Wireless-desa liloloandikwa kwa kutumia kalamu isiyokuwa na wino kwenye plane, anayejua kilichoandikwa ni aliyeandika tu. Click to expand... mkali mbona haya mambinu hukuyaweka hadharani!!!unajua elimu ya bongo bila mbinu kama hizi maisha ya shule yanakuwa magumu!
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,753 Feb 19, 2012 #35 MNYISAZU said: Kupiga pasi ndefu-kusitisha mlo mmoja esp.wa mchana. Click to expand... A.K.A Lampard! Dah umenikumbusha mbaaaali kweli!
MNYISAZU said: Kupiga pasi ndefu-kusitisha mlo mmoja esp.wa mchana. Click to expand... A.K.A Lampard! Dah umenikumbusha mbaaaali kweli!
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,753 Feb 19, 2012 #36 TUMBIRI said: Kuangalia Pilau - Kuangalia picha za Ngono! Click to expand... a.K.a "kikao"
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,753 Feb 19, 2012 #37 Radhia Sweety said: Wife- Mke Husband- Mume Boy- Mvulana Girl- Msichana Chair- Kiti Table- Meza Click to expand... Ha ha ha ha Radhia switie! Unaniua bwana!
Radhia Sweety said: Wife- Mke Husband- Mume Boy- Mvulana Girl- Msichana Chair- Kiti Table- Meza Click to expand... Ha ha ha ha Radhia switie! Unaniua bwana!
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Feb 19, 2012 #38 TASLIMU said: Koz work(makalio) Click to expand... Mkuu, bila shaka umesoma/unasoma MUCE, umenikumbusha mbali sana.
TASLIMU said: Koz work(makalio) Click to expand... Mkuu, bila shaka umesoma/unasoma MUCE, umenikumbusha mbali sana.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,075 Feb 19, 2012 #39 maskini Muhimbili hakunaga musemo!!!
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Feb 19, 2012 #40 Malalika said: a.K.a "kikao" Click to expand... Mkuu, bila shaka umepitia pale musoma tech maeneo ya baruti kwa Bry, safi sana.
Malalika said: a.K.a "kikao" Click to expand... Mkuu, bila shaka umepitia pale musoma tech maeneo ya baruti kwa Bry, safi sana.