zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,155
Hivi vitu vya kujengewa vyoo ndivyo vinavyofanya waafrika tudharaulike duniani.
Nilishangaa nilipofanya kazi na wazungu jinsi nilivyokuwa napata tabu kushawishi kwamba hoja yangu ni ya msingi hivyo ibebwe kama ilivyo. Mwanzoni sikuwa naelewa kilichokuwa kinaendelea so nikawa napata hasira kwa nini hawanisikii na kunielewa.
Badae nkaja kuelewa kuwa uafrika wangu unanisaliti. Kumbe vichwani mwao kinachoendelea ni kuwa huyu mtu kutoka Tanzania anaweza kuleta hoja ya maana kweli?
Sasa na haya mambo ya kujengewa vyoo....