Misa ya leo...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
Kwa walioenda church leo naomba mnijuze kuhusu injili,maana feni za parokia ya mbezi beach zinavyopuliza nilijikuta nimesikia tu kwa mbali story ya mwanamke aliyeolewa na wanaume saba kabla ya usingizi kunishika na wakati nakuja kushtuka nakuta kuna mambo ya kununua vipande kwaajil ya ujenz wa kanisa!!
Just kidding thou, mapendo daima!
 
Sasa kama hujui hata imefundishwa nini kwanini ulienda?
 
Sina hakika kama umeusoma uzi wote thoroughly uka grasp nlichomaanisha!

Mi huwa nikienda wakati wa sadaka ukifika kuna roho mbili zinaanza kupambana,moja inaniambia nitoe sadaka nyingine inaniambia usitoe niende kunywa supu
 
Mi huwa nikienda wakati wa sadaka ukifika kuna roho mbili zinaanza kupambana,moja inaniambia nitoe sadaka nyingine inaniambia usitoe niende kunywa supu

Hahahah,mkuu yako kali!
 
Hata uku kwetu mafundisho ni hayo hayo ya mwanamke alioolewa mara saba.....swali lilikuwa je uko mbiguni huyo mwanamke atakuwa mke wa nani mana anawanaume saba wa ndoa....

Jibu ni kwamba maisha ya mke na mme ni ya hapa duniani....uko mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa....
 
Leo ilikuwa ni siku ya mavuno ibada ilikuwa ni moja..So sikwenda...

Ulipaswa uende ukamtolee Mungu mavuno yako ya mwaka mzima....

Mjaribu Mungu kwa kumtolea asilimia 10 ya mapato yako uone jinsi atakavyo kumiminia baraka mpaka ukose mahali pa kuziweka....
 

So kwa wapenda ...
wahakikishe wanaridhika kabisaa maana kule hakunaga
 

Asante sana sister
 
Last edited by a moderator:
Kwangu nilikuwa ibada nzuri usingizi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…