Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro

Kifupi anachaguliwa na askofu wake.. huwa anapeleka majina matatu kila baada ya miaka 3
Hii imebaki kama protokali tu lakini ni nadra Sana kufanya kazi Ili kuepuka Askofu mstaafu kumu influence Askofu mpya, lakini vile vile figisu ni nyingi Sana Kwa wale wanaopendekezwa na Askofu Jimbo.

Pamoja na kwamba kwa nje inaonekana mchakato wa Kumpata askofu mpya ni smooth usio na minyukano kiuhalisia kuna Fitna, siasa na sarakasi nyingi tu.

Rejea mfano wa Jimbo la Moshi baada ya minyukano mingi ili kuepusha mpasuko ikabidi aletwe Askofu Minde ambaye alikuwa na Jimbo (Kahama) ili wale waliokuwa wakinyukana waridhike kwamba tumekosa wote.

Rejea pia Jimbo la Mbulu, kulikuwa na Fitna kubwa za ukabila kwamba wachaga wameliongoza Jimbo mfululizo hivyo wanataka mmbulu mwenzao.
Siasa Zipo kila mahali tusidanganyane,rejea injili ya Leo ambapo Wanafunzi wa yesu walikuwa wakizinguana ni nani aliye mkubwa Kati yao mpaka Yesu akawakemea.Kutaka ukuu ni tabia asili ya mwanadamu
 
Hakuna ugomvi wala nini! Sasa mtu anaanzisha kanisa lake, analisajili, na mwisho anajiita Askofu/ Nabii/ Mtume/Takataka gani sijui!!

Ukimuangalia tu kwa nje, unaona kabisa ni mpigaji, mzinzi, mwizi, muuza madawa ya kulevya, chapombe, nk.
Vipi kuhusu hao maaskofu na makadinari mashoga wanaofirwa?

Takwimu zinasema zaidi ya nusu ya maaskofu na makadinari pale vatican wanafirwa. Soma hapa.
 
Back
Top Bottom