Mirror mtake radhi Petii man ili urudi kwenye chati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,588
25,563
Tangu Mirror aingie kwenye bifu zito na petii amepotea kabisa katika ramani ya muziki

Petii alimwambia kabisa bwana mdogo nitake radhi la sivyo utapotea kwenye gemu dogo akajifanya mjanja matokeo yake ndio hayo amepotea kweli hasikiki

Tangu abambe na ngoma yake ya one and only na kurudi katika ngoma ya pamoja na baraka the prince kapotea mazima
 
Huyo teja lini aliwahi kumtoa msanii kimuziki istoshe huyo sidemirror hakua n kipaji zaidi ya kuforce kuimba
 
Mirror anaforce tu mziki kipaji hana ata hivyo alipataga ajali akavunjika mguu ndo mana yupo kimya
 
Alivuma ilipovuma endless fame na helA za kigogo wa wema, endless ilipokata roho nae akapotea km mnatunza kumbukumbu vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom