Miroslave Klose aachana na Lazio .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,745
239,396
Mkongwe huyo ameshindwa rasmi kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Italia baada ya pande zote mbili kushindwa kushawishi each other kuongeza mkataba .

Awali kulikuwa na tetesi kwamba Lazio walimpa mkataba mpya ambao aliukataa , lakini taarifa za shujaa huyo wa World cup alipinga uzushi huo na kupinga madai hayo .

Wito kwa timu vimeo , Klose bado ana uwezo mkubwa sana mnaweza kuomba sahihi yake .
 
Aje ajipigie Mwaka mmoja old Trafford. Jamaa huwa namkubali sana kwa magoli ya Vichwa... Tutawateseni sana Arsenal hadi mseme poo
 
Aje ajipigie Mwaka mmoja old Trafford. Jamaa huwa namkubali sana kwa magoli ya Vichwa... Tutawateseni sana Arsenal hadi mseme poo
Mimi sio Arsenal mkuu , mimi niko simba na Taifa stars .
 
Back
Top Bottom