Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi, kwanini madini yanakamatwa nje?

Merelani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imala kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nnje ya ukuta tatizo lipo wapi? Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi uwezo wa kutolosha madini yetu?
Ukuta umejengwa kwa sababu maalum. Ili Kagame achukue madini bila shida.
 
Wanaweza kufuata sheria ya kuyatoa kutoka migodini mpaka nje ya ukuta kwa kufuata sheria, ila kuyatoa ndani ya nchi kwenda nchi nyingine wasifuate sheria, ndio ajue mtoto akibalehe hata uweke geti la umeme atatoka tu akatulize genye zake...nguvu kubwa akili kidogo... Taabu ya kula ugali mkubwa mboga kidogo utotoni, unaambulia mabavu tu..
 
Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imara kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nje ya ukuta tatizo lipo wapi?

Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi uwezo wa kutorosha madini yetu?

Ukuta uko juu ya kipande cha ardhi na sio ardhi yote, wanamjambisha Jiwe ili wajue ana mdadi au hana.
 
Wanaweza kufuata sheria ya kuyatoa kutoka migodini mpaka nje ya ukuta kwa kufuata sheria, ila kuyatoa ndani ya nchi kwenda nchi nyingine wasifuate sheria, ndio ajue mtoto akibalehe hata uweke geti la umeme atatoka tu akatulize genye zake...nguvu kubwa akili kidogo... Taabu ya kula ugali mkubwa mboga kidogo utotoni, unaambulia mabavu tu..
Lakini mle ndani si wamefungua soko la madini au lipo nnje ya pale
 
Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imara kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nje ya ukuta tatizo lipo wapi?

Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi uwezo wa kutorosha madini yetu?
Suluhisho siyo ukuta
 
Lakini mle ndani si wamefungua soko la madini au lipo nnje ya pale
Mle ndani hakuna soko wamefungua soko mjini na KIA, ..inawezekana huko wanakopeleka ndio inalipa zaidi..Serikali inaweza kua inapanga bei za madini kama inavyopanga za mazao.
 
una kifuaduro wewe.

Asilimia kubwa yaani 99.7% mnazo na mnazitunza vizuri sana.. wengine mnatembea nazo kwa viwaleti vyenu kuzitumia kuringishia ati nanyi mpo kwa sistim.. ila mkija humu mnapiga porojo tu... ha ha haaa usisahau kunisumulia kifuaduro ukoje.. ugua pole.
 
Nilisikia tbc1 jana kwamba kuna dhahabu ilikamatwa arusha,kilo kadhaa kwenye bus zikitoroshwa kwenda nchi jirani.mwenye kufahamu idadi kamili ya dhahabu hyo na ilikua inatoroshwa kwenda nchi gani?.
 
Asilimia kubwa yaani 99.7% mnazo na mnazitunza vizuri sana.. wengine mnatembea nazo kwa viwaleti vyenu kuzitumia kuringishia ati nanyi mpo kwa sistim.. ila mkija humu mnapiga porojo tu... ha ha haaa usisahau kunisumulia kifuaduro ukoje.. ugua pole.
sijawahi kumiliki huo ugoro.
 
Back
Top Bottom