Mirascreen HDMI dongle

Mirascreen HDMI dongle

na assume tv yako haina wifi kabisa, hizo dongle zote hapo juu ni standard za wifi hivyo lazima wifi iwepo kwanza, ila dongle nyingi kati ya hizo zinatumia wifi zinavyotaka zenyewe, kwa lugha nyengine itaconect na hio wifi ya nyumbani ila hutaweza kufanya mambo yako ya kawaida ya wifi badala yake utatumia kustream tu vitu ulivyopangiwa na hio dongle.

kama unataka kutumia wifi kama ulivyoizoea tafuta dongle ambayo ina operating system kama vile android au windows, hizi zitakupa interface na uwezo mkubwa zaidi lakini bei vile vile inakuwa ndefu. kwa android maarufu ipo amazon fire stick na kwa windows ipo intel compute stick zote zinapatikana kama dola 30 hivi huko dunia ya kwanza.
6b381963d2d9ed3ad3e0615dfdf1bff4.jpg

Tv yangu ilipaswa kuja na hiki kitu ambacho ndo kingenipa mnengeneko wa wifi ila sikukipata sasa napata tabu. Kuna viwifi dongle cinauzwa kkoo ila sina hakika kama vitasupport nikaona nikuulize labda una utaalam kidogi

Za kariakoo hizi hapa
c3c6686c57c46a39688edafccc085a3d.jpg
 
mara nyingi tv sio smart kihivyo kukubali kila accessory, hivyo kuna uwezekano mkubwa kisifanye kazi hadi utumie usb dongle ya huyo manufacture mwenyewe, kwani atakuwa amesha pre load driver zake.

ila sio mbaya kujaribu, kama una rafiki anacho muazime utest
 
Sina rafiki ila nafikiria kurisk kukinunu. Hii TV inasoma mpa hard disk so naona kam chances are inaweza ikasoma
 
Back
Top Bottom