Miraji Kiwete - Naombei CV yake

Miraji Kiwete - Naombei CV yake

happy new year jamani,...mmejiandaaje na mwaka ujao au ni umbea kwa sana tu?
 
25 DECEMBER WATU WENGI HUMTAJA YESU......THE mtu ajulikanaye sana ulimwenguni
 
tuongee masuala hapa sio kujadili eti Miraji sijui kafanya nn!!! anatusaidia nini? atapunguza foleni huyo miraji? kuna masuala mengi ya kuongea Ufisadi,wizi wa kura,maji,foleni miji mikubwa,watu wetu wanakufa njaa,Wahindi wanaibia nchi etc

Hapana ndugu lazima tujue wanaomzunguka au kumhusu kiongozi mkubwa, kwa taarifa yako mafisadi huanzia kujikomba kwa hawa watu mpaka kufanikiwa kumkamata Mkuu na kujenga hoja za kifisadi kwani wakati mwingine si rahisi kwenda kwa Mkuu moja kwa moja, tunajua ujanja wao. Hivi unajua sasa hivi mafisadi wanavyojipendekeza kwa Riz!, na wanajua Mzee anavyomwamini mwanae kuanzia kipindi cha kampeni ndani ya chama na kitaifa! Tusikazane kuangalia mbele tu mashambulizi ya mafisidi hutokea upande wowote.
 
Nenda WAMA! JF wababaishaji hadi sasa huna jibu! watu wanajaza upumbavu tu
 
Du jamaa anatoa fotokopi,ingekuwa kijijini ambako watu huiba kwa jirani ,jamaa angekuwa anakuwa na kesi kila wakati

hivi kwenye ile sheria ya viongozi wa uma kutaja mali zao hawataji idadi ya watoto na nyumba ndogo?, naona kipengere hiki kiongezwe maana hawa ndo wanaotafuna raslimali zetu kwa sana.
 
ni mtoto wa mkwere kinara wa ufisadi,rais msanii mpenda anasa na mtalii anaependa kwenda marekani kwa washkaji zake. Na huyo miraji na riz wote ni watoto wa nyoka na kamwe hawandishwi kuuma. Mafisadi tu kama baba yao. Wapenda anasa na majigambo nyambaf mburukenge.
 
Tafuta wimbo wa kikosi cha mizinga wa "beef", utapata c.v yake yote.
 
anapenda sana totoz, kama mshua wake. Naskia anawapanga kama hana akili nzuri. Hao ndio viongozi wa badae.usichangae dingi yao akimaliza muda nao wakaanza kugombea ubunge kama ilivyokua kwa akina vita kawawa, na husein mwinyi na wengineo then kama wanamsukuma mlevi vile wanakamatia uwaziri. Imagine 2020 riziwan jk mkwere anakua waziri wa katiba na sheria si ana ka bachelor ka sheria ka udsm?nyie subirin tu.
 
Nimemfundisha kijana huyu. Kweli siku zimeenda na ametakata. Alikuwa mtoro an mtundu sana Makongo. Alikuwa hashikiki kabisa.
Time flies, I hope he has changed.
 
bimkubwa, hawezi change fisadi huyo. Na bado bila kua makini wataiuza nchi yetu.baba yao ni fisadi na lazima atakua anawaunganisha kwenye dili kubwa kubwa za kifisadi.
 
Back
Top Bottom