Ingekuwa nafuu zaidi kuboresha miradi iliyopo kwa kufunga mota za kisasa zitumiazo maji kidogo umeme mwingi,pia kuondoa tope na mchanga hasa kipindi cha kiangazi Ili kuongeza kina
Dadeki ata akili za kawaida Tanzania ya 1961 ni sawa na 2021, kukosa kufikiri na ujuha mwingi viongozi au maraisa wamefanya mengi makubwa sema wa tz wanapenda sana socialism