Nima_
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 249
- 232
Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?