ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,128
- 49,863
- Thread starter
- #21
Angalia video hii uone Kigoma inavyong'aa 🔥🔥Huenda Waha wataanza kurudi maana wamehama sana kutafuta maokoto
View: https://youtu.be/ZczapO-gNHU?feature=shared
Angalia video hii uone Kigoma inavyong'aa 🔥🔥Huenda Waha wataanza kurudi maana wamehama sana kutafuta maokoto
Una uhakika? Hizo video zilipigwa sayari ya Mars? Chuki huleta ugonjwa wa akiliUkifika Kigoma Ndiyo Utashangaa Yanayosemwa Hayapo Hivyo
RC Alitoa Clip Eti Zimebaki Kilometers 50Una uhakika? Hizo video zilipigwa sayari ya Mars? Chuki huleta ugonjwa wa akili
Yeye alikuta zimebakia km ngapi? Na in fact ni chini ya km 50 kutoka Tabora-Kigoma(Malagarasi-Ilunde).RC Alitoa Clip Eti Zimebaki Kilometers 50
Sasa Jamaa Yangu Kaenda Kigoma Anasema Wanasiasa Waongo Hakuna Lolote
Nitakuwa natoa mfululizo wa makala za Miradi mikubwa ya Maendeleo inayotekelezwa Kila Mkoa.
Ninaanza na Mkoa wa Kigoma.Unaweza sema Kigoma imependelewa au inastahili ila Kwa Sasa ni Kati ya Mikoa michache sana ambayo Ina miradi Mingi sana ya Maendeleo.
Baadhi ya miradi mikubwa ya Maendeleo inayoendelea na utekelezwaji Mkoani Kigoma ni hii ifuatayo,
- Ujenzi wa Barabara Kuu za lami zaidi ya km 420
- Ujenzi wa Barabara za mitaa km 10 chini ya Tactic
- Ujenzi na Ukarabati wa Bandari ya Lagosa,Kibirizi
- Ujenzi wa meli Mpya na Chelezo ya Kuundia meli
- Ukarabati wa meli za mv Sangara na Mv Liemba Ziwa Tanganyika
- Ujenzi wa Station kuu ya Sgr Kigoma
- Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma(Main Camp ni Uvinza-Kigoma)
- Ujenzi wa Soko Kuu la Mwanga-Tactic
- Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Muhimbili
- Ujenzi wa Tawi la Chuo Cha Uhasibu TIA
- Upanuzi wa Chuo Cha Taifa Cha Hali ya hewa na Ufungaji wa radar
- Ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi
- Ujenzi,ukarabati na upanuzi wa uwanja wa Ndege wa Kigoma (Gombe-Mahare International Airport)
- Ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha Umeme wa Kv 400 Nyakanazi-Kidahwe
- Ujenzi wa Tawi la BoT Kanda ya Magharibi(Usanifu unaendelea)
My Take
Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ya mabilioni ya pesa iliyomwagwa Mkoani Kigoma na awamu ya 6.
Waswahili Wana msemo kwamba kawia ila ufike,Kigoma Sasa wamefika.Hongera sana.

- Construction of Katosha Dry Port

Mama ataimaliza tuu kuwa mvumilivu.Hiyo miradi itaosha lini...maana pale Malagarasi -Uvinza mwaka wa kumi na tano sasa.