Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
MIRADI 73 YA BIASHARA YA KABONI IMESAJILIWA
Serikali kupitia Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (National Carbon Monitoring Centre – NCMC). imeendelea kuratibu na kuimarisha usimamizi wa Biashara ya Kaboni nchini ambapo jumla ya Miradi 73 ya Biashara ya Kaboni imesajiliwa na ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.
Biashara ya kaboni imeanza kuleta manufaa kiasi katika baadhi ya maeneo nchini ambapo kiasi cha Shilingi bilioni 45 zimelipwa na kunufaisha wananchi katika Halmashauri kumi (10) nchini kama gawio la mauzo ya viwango vya kaboni.