Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

Mh....! Mambo haya kabla ya uchaguzi nashindwaga kumake a final judgement. Still observing the situation towards the next general election.
 
No comparison, no contrast, relationship iliyopo ni kati ya Liongo na Pascal Mayalla ambayo hata mimi naijua, na sio sio mimi Pasco wa jf!. (kumbuka sheria zetu!)

Ila pia kwa vile naijua, naweza kuwaambia!.

Paskali na Abou ni ndugu!, walisoma darasa moja TSJ, wakaishi shared room moja, wakashare mambo mengi ya ujana, kiasi kwamba room yao hata hawakuhitaji "exile"!. Wakaja kuajiriwa siku moja RTD, wakaanza kazi pamoja, by that time kila mmoja akikaa kwa wazazi wake!. Wakatambulishana kwa wazazi, Wakaanza maisha ya kujitegemea pamoja, wakaishi nyumba moja a 2 bedroom flat pale Shariif Shamba Ilala huku wakishare sebule na jiko. Wakaoa pamoja, na wote kuishi na wake zao nyumba moja mpaka watoto walipo zaliwa ile 2-bedroom flat haikutosha, ndipo mmoja akahama na kumwachia mwenzake!.

1995 wote wakatimka RTD, mmoja akaenda ITV, mwingine DTV.

Pasco.
we paskali wewe..............:welcome:
 
mkuu nimeona jina linafanana kama la kwako kwenye orodha ya mawaziri watarajiwa..... hivi unaitwa Pasco, Paskali au paschal????????????????

Kaka; Pasco,Paskali, Paschal..! They all sound the same I gues! Kuna cha kujitetea hapa?
 
mkuu nimeona jina linafanana kama la kwako kwenye orodha ya mawaziri watarajiwa..... hivi unaitwa Pasco, Paskali au paschal????????????????
Mkuu ujinga, acha ujinga!, hilo jina litakuwa ni ni kama!.
 
Mkuu ujinga, acha ujinga!, hilo jina litakuwa ni ni kama!.

basi mkuu nimeeacha ila lengo langu lilikuwa jema, nakutakia kila la kheri maana naamini ukipata nimepata pia....... hata bodi ya wakurugengi ya Ujinga Jazz Band utanipa mkuuu..............
 
Seriousely: ntawezaje kujiunga kwenye mtandao wake ili nimsaidie ktk kampeni? from now!
 
kumbe?

Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo

Nilidhani kasikazini hawafai. Au hawafai wakiwa CDM wanafaa wakitokea CCYENU?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom