Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Mkuu niwahishie hiyo namba ya simu. Nahitaji Bango la raisi wetu. Tafadhari.
666 EL kapuya sfari com
Mkuu niwahishie hiyo namba ya simu. Nahitaji Bango la raisi wetu. Tafadhari.
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
hiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikali chini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana
Labda ikulu ya Monduli lakini sio Tanzania
Hata kadi za mialiko ya kuapishwa rais mpya 2015 zimekwisha-printiwa!
Tuma maombi nikupe moja
Lowasa hawezi kuwa na cheap plan kama hizo ni nan asiye na namba za liongo acheni wehu team membe a.k.a joka la mdmu naskia msemaji wa membe ni dk.kgwgwala....mnachofkria 2013 lowasa alkfkria 2000 lowasa plan zake znawaza 2020 yeye hana muda wa kulialia kwenye media kama kna membe....pande wa pili vp zto naona kawashka pabaya.....2015 ma presdent is lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...mstafte ela jdanganyen na kulalamika et kodi zenu mnajua vodacoma kwa sku anaingza kiasi gan nyie msfanye kazi subrn mliwe
Kanda ya Kati: Prof. Juma Kapuya
kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo
hiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikali chini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
kapuya atakua wazir mkuu kwenye serikali hii au???
Huyu jamaaa ni mnafiki mkubwa tu atueleze haya alihusika vipi akiwa kiongozi kama waziri mkuuuKuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.