kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo
Pasco wa JF kesha toswa. Teh teh ...
No comparison, no contrast, relationship iliyopo ni kati ya Liongo na Pascal Mayalla ambayo hata mimi naijua, na sio sio mimi Pasco wa jf!. (kumbuka sheria zetu!)
Ila pia kwa vile naijua, naweza kuwaambia!.
Paskali na Abou ni ndugu!, walisoma darasa moja TSJ, wakaishi shared room moja, wakashare mambo mengi ya ujana, kiasi kwamba room yao hata hawakuhitaji "exile"!. Wakaja kuajiriwa siku moja RTD, wakaanza kazi pamoja, by that time kila mmoja akikaa kwa wazazi wake!. Wakatambulishana kwa wazazi, Wakaanza maisha ya kujitegemea pamoja, wakaishi nyumba moja a 2 bedroom flat pale Shariif Shamba Ilala huku wakishare sebule na jiko. Wakaoa pamoja, na wote kuishi na wake zao nyumba moja mpaka watoto walipo zaliwa ile 2-bedroom flat haikutosha, ndipo mmoja akahama na kumwachia mwenzake!.
1995 wote wakatimka RTD, mmoja akaenda ITV, mwingine DTV.
Pasco.
Mwinyi kwao ni Mkuranga.........!!!
Zanzibar hawajawahi kutoa Rais.
Hapo sasainakuweje unajua yote haya kama sio wewe
Bado mna mpango wa kumteua Kapuya kuwa Waziri Mkuu wenu? Aaaaah sorry umesoma msemaji ni Liongohiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikali chini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana
Amesema ukumbuke sheria za JF...Name calling sijui! Ila ni yeye na amekiriinakuweje unajua yote haya kama sio wewe
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Hivi sasa habari ya mjini ni namna ya kuunda serikali si siasa za maji taka!
We uliza labda serikali iweje nk? haya ya mambo ya sijui picha za LEMA ni feki au halisi,sijui zito anagombana na Slaa hazina mashiko kwa sasa ,issue ni Je Serikali ya LOWASA itakuwa na idadi kiasi gani ya mawaziri nk!
Haiwezekani kamwe! Mie najua raisi kupitia CCM ni Mwigulu,au January, au R1, au Lusinde, au Nape
raisi wa 6 nyanda ya juukumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo