linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
marahabaa... Na akizubaa mahari atajilipia mwenyewe.Shika-m'oo
marahabaa... Na akizubaa mahari atajilipia mwenyewe.Shika-m'oo
mama la mama i see you!!! nakuhamuKuna vitu vingine kwa haraka haraka wala huitaji kuomba ushauri,.ni kufanya maamuzi magumu tuu...haya mambo haya ukiyalea yalea eti unasubiri ushauri unaweza date na shoga walah tena...
We unajua venye nakukosa...mish'yuu Sanch'mama la mama i see you!!! nakuhamu
Habari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana, ameng'ang'ania wajenge nyumba yao katika kiwanja kinachomilikiwa na bi dada.
Sasa kinachomtatiza bi dada mbona kung'ang'ania kujenga ktk kiwnja chake?
Kujenga ni jukumu la mwanaume, mbona bwana huyu ana ng'ang'ania wajenge wote?
Huyu Kijana kutwa kucha kwenda kula dinner kwa bi dada na hachangii chochote hata wakienda shoping hatoi hata sh10 kuchangia.
Kijana ana gari yake, ila kutwa kucha anapenda kuendesha gari ya bi dada kisa ni nzuri na hachangii hata mafuta.
Wenye experience nahii naombeni maoni yenu.
Hahaha kwa mwenendo wa jaamaa, bibie atakopwa maharimarahabaa... Na akizubaa mahari atajilipia mwenyewe.
Huna kakiwanja dada tuanze kujenga.Mwanaume wa kinondoni... Amezoea kulelewa huyo, usikute alikuwa kiben ten cha mtu.
Ashachelewa na kokotoo nishamwaga.Mwambie ashtuke kabla hajachelewa
Khaaa...siku hizi mmeacha yale majina mnatuita vichwa maji?Umegonga palepale ila vichwa maji watakuja kukushambulia
Khaaa...siku hizi mmeacha yale majina mnatuita vichwa maji?
Dooh!! Nna beach plot Ila kabla hatujaanza kujenga ntakuhonga ka I S T 😂Huna kakiwanja dada tuanze kujenga.
Nakaa Kinondoni manyanya.
Tehteh...ila nyie wanawake ni wagumu bwana....Dooh!! Nna beach plot Ila kabla hatujaanza kujenga ntakuhonga ka I S T [emoji23]
Nimemwachai Mungu.Kumbe ndio wewe kichwa maji
Kujenga sio jukumu la mwanaume...kama mmefunga ndoa ni jukumu la wote wawili. Wanawake tusipende vya wanaume..ni jukumu la wote. Ila kwa wao sina la kuwashauri zaidi ya kumwambia akili kichwani