dada kwenye hiyo avatar yako ni wewe mwenyewe?Kujenga sio jukumu la mwanaume...kama mmefunga ndoa ni jukumu la wote wawili. Wanawake tusipende vya wanaume..ni jukumu la wote. Ila kwa wao sina la kuwashauri zaidi ya kumwambia akili kichwani
hahaha sina la kuongezea madammeUnafungasha unaondoka kwa sababu ya watoto wako ambao bado wanahitaji malezi ya mama.
Kama tunavyojua mama ndiyo anayelea na kuwakuza vyema watoto na ndiyo Mtu aliye karibu ni watoto.
Hivyo kama hautaki watoto wako wapate tabu lazima ufungashe usepe wewe.
Lakini upande wangu Mimi siwezi kuondoka eti nimwache mwanaume ndani , tena ya nyumba yangu na wakati hawezi hata kulea watoto.
Nikisema kulea namaanisha ( malezi ambayo ayahusiani na kutoa pesa).
Pamoja Sanchez magoli.hahaha sina la kuongezea madamme
Hapo hana mwanaume na asitegemee atabadilika akishamuoa au kujenga nyumba wote.Habari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana, ameng'ang'ania wajenge nyumba yao katika kiwanja kinachomilikiwa na bi dada.
Sasa kinachomtatiza bi dada mbona kung'ang'ania kujenga ktk kiwnja chake?
Kujenga ni jukumu la mwanaume, mbona bwana huyu ana ng'ang'ania wajenge wote?
Huyu Kijana kutwa kucha kwenda kula dinner kwa bi dada na hachangii chochote hata wakienda shoping hatoi hata sh10 kuchangia.
Kijana ana gari yake, ila kutwa kucha anapenda kuendesha gari ya bi dada kisa ni nzuri na hachangii hata mafuta.
Wenye experience nahii naombeni maoni yenu.
dada kwenye hiyo avatar yako ni wewe mwenyewe?
haya kuhusu banaaa...acha kuingilia mapenzi ya watuHabari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana, ameng'ang'ania wajenge nyumba yao katika kiwanja kinachomilikiwa na bi dada.
Sasa kinachomtatiza bi dada mbona kung'ang'ania kujenga ktk kiwnja chake?
Kujenga ni jukumu la mwanaume, mbona bwana huyu ana ng'ang'ania wajenge wote?
Huyu Kijana kutwa kucha kwenda kula dinner kwa bi dada na hachangii chochote hata wakienda shoping hatoi hata sh10 kuchangia.
Kijana ana gari yake, ila kutwa kucha anapenda kuendesha gari ya bi dada kisa ni nzuri na hachangii hata mafuta.
Wenye experience nahii naombeni maoni yenu.
Tapel hyo,lakn kama kiwanja kina jina la bidada hapo sawa kisheria anamilik yeye ila bi dada akijiroga akaandika jina la hyo jambaz imekula kwakeHabari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana, ameng'ang'ania wajenge nyumba yao katika kiwanja kinachomilikiwa na bi dada.
Sasa kinachomtatiza bi dada mbona kung'ang'ania kujenga ktk kiwnja chake?
Kujenga ni jukumu la mwanaume, mbona bwana huyu ana ng'ang'ania wajenge wote?
Huyu Kijana kutwa kucha kwenda kula dinner kwa bi dada na hachangii chochote hata wakienda shoping hatoi hata sh10 kuchangia.
Kijana ana gari yake, ila kutwa kucha anapenda kuendesha gari ya bi dada kisa ni nzuri na hachangii hata mafuta.
Wenye experience nahii naombeni maoni yenu.
Dada mwenyewe hajielew ye anawaza ndoa tu ambayo anaweza hata asiipateMwambie amuambie tu ukweli kuwa hiyo tabia ya mtoto wa kiume kuwa kupe inakera, either way hawezi muambia kisa yupo desperate na ndoa then ajiandae tu kisaikolojia kuiendesha hiyo familia akisimamia nafasi zote za Baba na Mama.
Na akimuambia halafu mabadiliko ni sifuri achague tu moja iwe kusuka ama kunyoa,
Relationship is all about 'give' and 'take' not 'take, take, take and take..!!
Shika-m'ooMwanaume wa kinondoni... Amezoea kulelewa huyo, usikute alikuwa kiben ten cha mtu.