Kama ni mimi ningepewa mamlaka/kazi ya kuliekebisha hili.
Ningetumia hawahawa wanafunzi wa DIT,UCLAS,Ardhi,UD--na technical colleges wafanye projects za ku-design miji mipya--kila chuo ningekipa wilaya moja ya ku-design--na hapa kila group ya wanafunzi ipewe kata 1.Kuwe na makazi,viwanja vya michezo,barabara,dampo,mipangilio ya miti na huduma zote muhimu za kijamii(mini-towns)--kama hizi Town creator..
Kungekuwa na namna ya ku-rate na kuzitumia hizi designs zao katika kupanga miji--kwa ushauri wa kitaalamu kutoka kwa hawa "maprofesa" wenye ujuzi zaidi.Maeneo ambayo tayari yanamilikiwa na watu binafsi--yapewe uhuru wa kuendeleza au kuuza.
Tatizo elimu yetu iko kwenye vitabu zaidi---unakuta hawa urban planners---hajawahi ku-design chochote maishanii mwake.
hata hizi shule na mahospitali tunayojenga---wataalam wangepewa pro-bono--wajitolee--kwa ajili ya taifa---taifa liwe na templates kama 10 zilizorasimishwa---kamwe tusingekuwa na vishule vya ajabu ajabu mtaani...the same kwa maduka,open spaces,viwanja vya mipira etc
Ni mawazo yangu tu--lakini kama ingetumika hili wazo tungeweza kufika mahali--tuache SIASA.

Tanzania imeingia makubaliano na China kuingiza bidhaa adimu Kwa mfumo wa Mradi Ambao hata jijj la DAR es Salaam haujawai kufikiria IPO siku Miji yetu itahitaji kufanya Kwa mfumo wa fidia.. "Mradi huo ni Mradi wa Maji Machafu" KAZI hiyo ya kuimport itafanyika Kwa gharama ya Dola za Marekani tirioni 2...
KAZI nzuri soma elewa tuchape Mwendokasi ya Maji Machafu Miji ipendeze na wahindi wale MAISHA ya zamani...
"Ukipita njia moja hivi kutoka Itigi kwenda Tabora kuna msitu mkubwa hakuna mtu hata mmoja, ardhi iko nyingi nchii hii ambayo haina mgogoro wowote wala haina mtu anayekaa, lakini ardhi inapoanza kupata wakaazi na matumizi,, ndiyo migogoro inapoj@jerrysilaa Waziri wa Ardhi
"Kikubwa ambacho tumedhamiria ni kuhakikisha hii nchi inapimwa yote, kuna zile 'K tatu' yaani kupanga, kupima na kugawa, sasa huwezi kugawa nchi nzima lakini ipangwe halafu ipimwe,"- @jerrysilaa Waziri wa Ardhi
"Tukisema kupanga maeneo maana yake ni kupanga kwa teknolojia ya kisasa ambayo inaamini kabisa ndani ya miaka 50 hadi 100 ijayo studio za TV na Radio zitakuwa maeneo gani, tujue kabisa mwaka 2100 na 2200 tutahitaji shule ngapi, hebu tupange leo kisha tupime ibaki kazi ya ku-allocate,"- Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.