Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao.

Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri.

Kwa Dar es Salaam naona wanajitaidi kama kujenga masoko makubwa.ila bado ijatosheleza.

Sasa kila sehemu lenye mvuto wa biashara, mamlaka kuelekeza lazima ujenge vyumba vya kupangisha ili watu kufanya biashara.
 
tunakoelekea itafika kipindi hata wakupanga katika hizo fremu atakua hayupo, kiiila jengo lina fremu
 
Back
Top Bottom