Mipangilio yangu ya mapenzi kwa mwaka 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mipangilio yangu ya mapenzi kwa mwaka 2012

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Dec 23, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mwaka unaoelekea kuisha sasa nimekuwa naruka ruka sana (Ujana) sasa mipango yangu ya mwakani ni kuhakikisha naweka jiko ndani.............. This appears on top of my To Do list ya mwaka 2012. Ila sijui kama nina wito wa kwenda huko so maombi yenu yanahitajika sana bhana
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wa kumweka ndani umeshampata lakini? usije ukakurupuka kuweka ndani tu
   
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mwaka una siku 365 ambazo zinaniruhusu kufanya mambo yote hayo
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu nimekuelewa. Ila ushauri wangu, uchukue muda mrefu kujuana na mwenzi wako, chini ya mwaka mmoja ni rahisi sana mtu kuji fake fake. Ni mtazamo tu.
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri bro....umrudie Mungu pia,unapojiombea itasaidia zaidi.Na itabidi ukubali kukataa au kujiweka mbali na vishawishi vingine...
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Haya kaka advice taken
   
 7. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Vishawishi vipi hivyo mama?
   
Loading...