Miongozo mipya jinsi ya kupima Tezi Dume

Saratani ya Tezi dume inasababishwa na nini?

Na njia gani za kuepuka ugonjwa huu wa gharama?
Hakuna kisababishi cha moja kwa moja, as long as ni mwanaume, risk ya kudevelop hiyo saratani ipo. Sababu kubwa ni uwepo wa homoni ya testosterone kwa mwanaume.

Kuna vitu ambavyo vimekuwa termed as risk factors, mfano
1. Historia ya aina hiyo ya saratani ama saratani ya matiti kwenye familia 2. Unene 3. Maambukizi katika tezi ya muda mrefu (Chronic prostatis)

Ni muhimu kuanza kujichunguza mapema hususani mwanaume akifikisha miaka 45
 
Ni hatari tuombe sana Mungu atuepushe na janga hili
Je magonjwa haya miaka ya 90 yalikuwepo au ni hivi sasa?
 
Yalikuwepo, ufahamu ulikuwa chini. Zamani fikra zilikuwa ni ugonjwa wa zinaa kitu ambacho sio kweli.

Mwanaume 1 kati ya 8 wanaweza kutwa na saratani hii katika maisha yao hususani kuanzia miaka 50.
 
Ni hatari sana ila nimegoogle nimekutana na sababu mbalimbali kama

Kutofanya mazoezi.
Genetic
Rangi nyeusi
Unene
Kuvuta sigara
Matumizi ya pombe
Nk
 
Back
Top Bottom