View attachment 49212
Bibi naye hajabaki nyuma hata kidogooooooo

halafu sampuli hizi ndio zinkwenda diamond jubilee na kushagilia kila kitu!
........Wengi wao ni wale walioachiwa wajukuu.......
Kama kuna kitu huwa kinaniumiza ni kuona kina mama/bibi wakiifanya hii kazi tena juani. Huwa naona huruma sana.