Miongoni Mwa Ahadi za Awamu ya Nnne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miongoni Mwa Ahadi za Awamu ya Nnne

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Mar 13, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  chupachupa (1).jpg
  Vijana wamejipatia ajira yamkini kutokana na kuongezeka wawekezaji wa maji??
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  03_12_krrg9m.jpg
  Bibi naye hajabaki nyuma hata kidogooooooo
   
 3. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hizi ndio zile ajira milioni tulizoambiwa wakati wa kampeni.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Ndio Haya.....???
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,865
  Trophy Points: 280
  Halafu sampuli hizi ndio zinkwenda diamond jubilee na kushagilia kila kitu!
   
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama kuna kitu huwa kinaniumiza ni kuona kina mama/bibi wakiifanya hii kazi tena juani. Huwa naona huruma sana.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  usisahau hawa ndo hupewa sana tisheti na kanga!
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  ...zimeandkwa Kigumu Chama Cha Mapinduzi
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  ........Wengi wao ni wale walioachiwa wajukuu.......
   
 10. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yawezekana mkuu, vinginevyo ni ngumu sana kufanya hiyo kazi tena kwa umri huo. Wanahitaji kutunzwa na kufanya shughuli ndogo ndogo maana hawana nguvu za pilikapilika kama vijana.
   
 11. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,741
  Trophy Points: 280
  kweli bibie...it hurts, really hurts.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Indeed very sad! Ila hakuenda kuimba ana imani na kasi mpya jumatatu pale Diamond sijui? Maana we have sang that song almost endlessly and nothing good come out of those we trust
   
Loading...