Minister: Sudan's Bashir has left South Africa

Minister: Sudan's Bashir has left South Africa

Hii miviongozi ya afrika inabidi kunyongwa tu. Inauchu sn wa madaraka! Iko tayari raia wao wafe hata wote lkn ibaki madarakani.
Nasikitika sn anayetetea viongozi wa afrika

Mijitu inayotetea ni kwa sababu tu ya rangi nyeusi lakini haina matiki yoyote kwenye hoja. Marais hao walisaini wenyewe ule mkataba(labda yalikuwa yanadhani kuna hela) alafu ni mirais mikatiri sana, sasa sijuhi ulalamishi unatoka wapi inapokamatwa kwa kuuwa wananchi wao? suala la Bush atakamatwa lini ndio hoja zewenyewe mfu hizo,wewe mfano huyo Bashir kafanya mauaji dafur eti aachiwe tu kwa sababu Bush hajakamatwa? Kama nchi za Afrika (zile zilizosaini utambuzi wa mahakama hiyo)zina ubavu msiombe na misaada kwa wazungu tuone, shenzi kabisa.
 
Kama mzee Mugabe alikuwepo hapaharibiki kitu, waafrika tuna uwamuzi wetu hatuamuliwi na wazungu tena.
 
Sasa ndege kuwekwa mbele ya wenzake ndiyo kutoroka.
 
Hajatoroka! Ameondoka kwa vibali vyote vya South Africa. Ndege haiwezi kutoroka kama bodaboda! Kumbuka pia kwamba uwanja wa ndege alipoondokea, ni wa Airforce!
 
Raisi wa Sudani Omari Al-Bashir aliyekuwa anatakiwa kukamatwa huko AK amechomka na anategemewa kuwasili mjini Khartoum saa 1730!
 
Hii ilikuwa ni kama movie vile ! Watu tulikuwa tunasubiria kwa hamu kubwa kitakacho tokea. Sasa najiuliza hyo mahakama iliyotoa order ile ya kukamatwa al bashir itaamua nini ?
 
Kumbe ww ni kati ya walevi wanaotete viongozi wa afrika....au wewe ni riz1 babako ni kiongozi ndo maana imekukera??!!

Ndugu yangu hapa tunajadili kwa sera na si kuingiza chuki zako.Sasa riz kafikaje hapo?Au ulitaka bashir akamatwe then iweje?
 
kumbe ww ni kati ya walevi wanaotete viongozi wa afrika....au wewe ni riz1 babako ni kiongozi ndo maana imekukera??!!
kumchkia riz hakukuondolei upumbavu wako wewe unaonekana ni juha mwenye chuki zisizo na msingi
 
Back
Top Bottom