Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Mkuu miaka 12 bado unasoma tu? Tigo si ni kwa students?
Wanajamvi nimekkuwa mteja wa tIgO kwa miaka zaidi ya 12, Kwa kweli walipofikia na huduma yao ya mini Kabang ambayo unajiunga kwa code *148*00# na baadae kuchagua kwa kweli sasa imekuwa kero ambayo inanilazimu kuhama mtandao.
Nimenunuea salio vzr lakini shida ya kujiuunga na hduma hiyo imenchukua 3 hrs bila mafanikio hii ni aibu na fedhea kwa wateja wao, wakumbuke kuwa tunajiunga kwa pesa na si bure kiasi cha kusumbuliiwa namna hii!
Naomba muwe waungwana hata kuonesha concern kwa wateja wenu maana hii si sawa ata kidogo, unalipia huduma bila kpata huduma hii maana yake nini?
acheni ujinga ujinga bana!
wakati huohuo naomba ushauri wa mtandao wa simu ntakaojiunga baada ya kuachana na wababaishaji tiGO!
Umepatwa na tatizo hilo kwa muda gani?
Binafsi cjakutana na tatizo kama hilo! Nakushauri ukitaka kuunga kabang weka salio lako t.pesa then jiunge na kifurushi direct
Wanajamvi nimekkuwa mteja wa tIgO kwa miaka zaidi ya 12, Kwa kweli walipofikia na huduma yao ya mini Kabang ambayo unajiunga kwa code *148*00# na baadae kuchagua kwa kweli sasa imekuwa kero ambayo inanilazimu kuhama mtandao.
Nimenunuea salio vzr lakini shida ya kujiuunga na hduma hiyo imenchukua 3 hrs bila mafanikio hii ni aibu na fedhea kwa wateja wao, wakumbuke kuwa tunajiunga kwa pesa na si bure kiasi cha kusumbuliiwa namna hii!
Naomba muwe waungwana hata kuonesha concern kwa wateja wenu maana hii si sawa ata kidogo, unalipia huduma bila kpata huduma hii maana yake nini?
acheni ujinga ujinga bana!
wakati huohuo naomba ushauri wa mtandao wa simu ntakaojiunga baada ya kuachana na wababaishaji tiGO!
unajiungaje mkuu, na kwa muda gani unapata offer hii?
*149*99# kila siku
Kama kujiunga tu ni mateso, maana yake ukibahatika kuunganishwa hutapata mtandao hadi muda wako utaisha, ushauri wangu kwako:
Hamia Zain au Zantel, they are cheap and efficient