Mini Kabang ya tIGO ni upuuzii mtupu!!!

Mini Kabang ya tIGO ni upuuzii mtupu!!!

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,735
Reaction score
16,830
Wanajamvi nimekkuwa mteja wa tIgO kwa miaka zaidi ya 12, Kwa kweli walipofikia na huduma yao ya mini Kabang ambayo unajiunga kwa code *148*00# na baadae kuchagua kwa kweli sasa imekuwa kero ambayo inanilazimu kuhama mtandao.

Nimenunuea salio vzr lakini shida ya kujiuunga na hduma hiyo imenchukua 3 hrs bila mafanikio hii ni aibu na fedhea kwa wateja wao, wakumbuke kuwa tunajiunga kwa pesa na si bure kiasi cha kusumbuliiwa namna hii!

Naomba muwe waungwana hata kuonesha concern kwa wateja wenu maana hii si sawa ata kidogo, unalipia huduma bila kpata huduma hii maana yake nini?

acheni ujinga ujinga bana!
wakati huohuo naomba ushauri wa mtandao wa simu ntakaojiunga baada ya kuachana na wababaishaji tiGO!
 
huku mtani kwetu ni aina ya chakula pia!
ni chakula legelege chip na mayai lakini mayai hayakauki vizuri yanakuwa yamelegeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
jamaaa mmoja hapa ananiambia tIGO iilkatta masaa sita huko Tanga happo juzi!
 
tIG......"O" ina tafsiri nyingi sana lakinii nyng ni matusi!

Ngoja nikupe duwa mkuu ili uwe na imani na O na uieshimu kwa maana ni kiunganishi.Bismillah rahman rahim,amen! umat wa muhammad kallah ruzkna ni wahuni,amen! Wallah usitujalie wavivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen.ASSALM ALEYKUM.
 
wewe waitaji matusi sasa naona........ au tigo yako ishatanunuka sana.......nn!?
weka voda basi.
 
Wanajamvi nimekkuwa mteja wa tIgO kwa miaka zaidi ya 12, Kwa kweli walipofikia na huduma yao ya mini Kabang ambayo unajiunga kwa code *148*00# na baadae kuchagua kwa kweli sasa imekuwa kero ambayo inanilazimu kuhama mtandao.

Nimenunuea salio vzr lakini shida ya kujiuunga na hduma hiyo imenchukua 3 hrs bila mafanikio hii ni aibu na fedhea kwa wateja wao, wakumbuke kuwa tunajiunga kwa pesa na si bure kiasi cha kusumbuliiwa namna hii!

Naomba muwe waungwana hata kuonesha concern kwa wateja wenu maana hii si sawa ata kidogo, unalipia huduma bila kpata huduma hii maana yake nini?

acheni ujinga ujinga bana!
wakati huohuo naomba ushauri wa mtandao wa simu ntakaojiunga baada ya kuachana na wababaishaji tiGO!

nenda fb kwa official page yao ukawatukane
 
Hamia eateli
tsh 1000=dk 40 mitandao yote na tigo ikiwemo,
tsh 500=dk 15 mitandao yote,
 
Umepatwa na tatizo hilo kwa muda gani?
Binafsi cjakutana na tatizo kama hilo! Nakushauri ukitaka kuunga kabang weka salio lako t.pesa then jiunge na kifurushi direct
 
Tigo umekuwa mtandao usio na tija kwa wateja wake!
 
Bismillah rahman rahim,amen! umat wa muhammad kallah ruzkna
ni wahuni,amen! Wallah usitujalie wavivu kama kallah ubwabwa
mandondo,amen.ASSALM ALEYKUM.

tawfiq..
amen.
shabiby..
amen.
wahidas..
amen.
tawaqual..
amen.
summry..
mh.?
super najimnisa..
weye watutajia magari na wala sio swala hiyo waswali..
kunguru n'kubwa weye.
 
Ngoja nikupe duwa mkuu ili uwe na imani na O na uieshimu kwa maana ni kiunganishi.Bismillah rahman rahim,amen! umat wa muhammad kallah ruzkna ni wahuni,amen! Wallah usitujalie wavivu kama kallah ubwabwa mandondo,amen.ASSALM ALEYKUM.

Wewe ni -------- bila ya kumung'unya maneno, wacha kabisa mambo ya kutania dini ya haki.
 
tawfiq..
amen.
shabiby..
amen.
wahidas..
amen.
tawaqual..
amen.
summry..
mh.?
super najimnisa..
weye watutajia magari na wala sio swala hiyo waswali..
kunguru n'kubwa weye.

Kabang ya tigo inakuwasha. Ndio maana unatania na dini ya haki ------- sana!
 
Back
Top Bottom